Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja


Tanzania tuliharibu pale hawa jamaa wa wizara ya Michezo (sikumbuki jina la mbele maana kila mwaka RAHISI anabadili) tulipo ondoa uwezo wa Kitengo kilichokuwa kikisimamia katika Maadili katika kazi za wasanii wetu. Mfano: wimbo wa BOMOA (sikumbuki band); Kwa Soksi (Remmy Ongala) ilipigwa marufuku....Huo ni wakati maadili yanafuatwa-hata kama kuna sehemu waliharibu_WALioKUWA NA NIA NJEMA na MEMA yalizidi UPUMBAVU!

Kwa sasa ni uwanja “huru“ unatukana unajiimbia choxhote bora kiuzike! NDICHO KIPIMO CHA KUOZAA JAMII YETU WATANZANIA!
 
Hivi watu wazima wanatizama EATV! Nilidhani ni channel ya vijana pekee.
Kama ni ya vijana pekee it is even worse maana this conversation is not suitable for the youth.
Kuna namna unaweza kuzungumza kuhusu sex, condom na maumbile
in a way that is educative na ikawa sawa hata kwa watoto kusikiliza,
na kuelimika. ila hilo la kuuliza kama "wanawake wanampenda sababu
kajaliwa kama punda" is sending a very wrong message to our youth
who would think that a large penis is the key to love or to great sex.
Pia kwa watoto wanao muona diamond kama icon fulani, a role model,
wanaweza wakadhani having sex as many/few time as Diamond ndio ujanja.
Maybe that should have been cut wakati wanaandaa kipindi.
 


...Angalau wewe umetoa jibu lililokwenda shule kuliko mengi ya yaliyotangulia, kama sio Yote...!!
 
Nadhani kila mtu an uhuru wa kuongea, Salma Jabir ni Salma Jabir kwake poa kwa wengine sio poa tunawasaidiaje?:baby:
 
kweli Mzalendo inabd atumie tafsida kupunguza ukali wa maneno.....muda uwa kpnd mara mara nyingi watoto wanakuwa bado hawajalala....Siyo Diamond tu kwan hata Kanumba alimuuza maswali km hao.....kujfanya uzungu na kuendekeza ni ujinga kwan ni utumwa na umaskini wa fikra/mawazo..!! :director:.... :blah:
 

umeharibu mwishoni nilijua mstaarabu kumbe akili na wewe unaficha kwenye viatu
 
Mlimo ko uli
Hakukua na neno baya sana kati ya hayo, issue ni kwanini alimuuliza? Salama huw anamhoji mgeni kulingana na stori iliyoko mtaani na inavuma. Hivyo hakuwa amefanya vibaya sana kulingana na aina ya wateja wa kipindi chake.
 
Salama yuko talented. She is to be admired. Yuko creative, confident and straight forward.
Sehemu niliyoiona mimi alisema "mara ya mwisho kujamiiana ni lini" Diamond akajibu "last night". Akamuuliza "mara ya mwisho kulia" akajibu "last night" Salama akasema duh so last night ilikuwa busy night.
Kama alisema kusex, bado pia ni tafsida, ingawa hilo mimi sijaona wala kusikia. Neno ambalo lisingekuwa tafsida ni kuto#*^$na. Yeye hajatumia hilo.
I think tuwe tunawapongeza na kushow appreciation kwa wenzetu wenye vipaji vya usanii when they are alive kuliko kusubiri mpaka wafe tujazane msururu kwenye mazishi kuwaaga.
 
Sasa ukimwangalia Salama na Diamond akili zao si ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…