Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Zamaradi ana maswali ya kimbea zaidi , mtangazaj wa umbea , salama she is a bit exposed na ako smart sana . Ma gay wengi wako smart sana
The last sentence ruined your post!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamaradi ana maswali ya kimbea zaidi , mtangazaj wa umbea , salama she is a bit exposed na ako smart sana . Ma gay wengi wako smart sana
Zamaradi yuko bora sanaWanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Wote wabovu kabisa..
Huyo Zamaradi hajui hata amchague nani amhoji ..yeyote anae trend insta ..wanakuja kumhoji..Mara Gigi money mara Amber Rutty..
Watu wa maana hawafanyiwi interview..
Salama ndo kabisa.. maswali ya kijinga kabisa
Hivi hili neno "trend" halina kiswahili!!? maana kila sehemu naona linatajwa kama lilivyo, tafadhali mkuu naomba unisaidie tafsiri yake "trend"
Sio kwamba watu hawapendi kuuliza hard questions , bali politician Wana limit namna watakavyokuwa treated kwenye media .Tz hakuna kipindi chenye maswali kama ya hardtalk
So sad
Kuna mheshimiwa aliishanipa tafsiri huko juu kuwa ni "kuvuma"(lugha rasmi), hii "bamba" nahisi itakuwa ni lugha ya mpito yenye maana ya kuvuma pia!!Kiswahili chake itakuwa "bamba"