Salamu baada ya kutoka kifungoni

Zesh

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
15,395
Reaction score
25,049
Amani iwe juu yenu

Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....

Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…