Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo JF ni zaidi ya gegedo la mumeo?Amani iwe juu yenu
Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....
Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
Da! Mkose uone zipande uanze kutoa ute kama utajali kama kuna JF zaidi utamkwida yeyeNi zaidi hata ya mume ndiyo
mkuu hakuna raha kama kujifunza kwa vitendo..Ukiwa banned unajuaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka km mazurii vilee looh!Asante mamy nlimtaja MTU kwa jina