Salamu baada ya kutoka kifungoni

Salamu baada ya kutoka kifungoni

Amani iwe juu yenu

Awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kua hai na mzima wa afya kwa kipindi chote ambacho nilikua kifungoni(ban) mpaka sasa.......Hakika nilikua katika wakati mgumu sanaa wakati niko banned sababu jf ni kila kitu kwangu ila nashukuru kifungo changu kimeisha na hatimae nimerudi tena .....
kwa upweke nilioupata nikiwa nje ya jf nathubutu kusema sitorudia makosa ambayo yatanipelekea kua kifungoni tena.....

Nawatakia weekend njema
Zeshchriss
Katibu mtendaji wa wadangaji jf
Kwahiyo JF ni zaidi ya gegedo la mumeo?
 
uachage kiherehere kufatilia mambo yangu, ndo mana nkakupga ban la uso.
nyambafuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom