Salamu Hii Ya Vijana kwa Watu waliowazidi umri ni Halali?

Salamu Hii Ya Vijana kwa Watu waliowazidi umri ni Halali?

binafsi watu ninaowapa shikamoo sikuiz ni wale ambao tangu zamani (kabla ya kujielewa) nilikuwa nikiwapa hiyo shkamoo

mtu mpya hata unipite vipi hupati shkamoo kutoka kwangu ila si kama siwaheshimu coz unaweza ukatoa shkamoo na huyo unaemuamkia usimuheshimu vile vile
 
Inawezekana sana mkuu, ila wazee watanung'unika kwamba wanadharauliwa/ kuvunjiwa heshima.
Wazee wakoloni ndio wataona mambo magumu ila wazee waliopitia UK hawana kokoro na mtu.
 
Hata hiyo shikamoo wasitoe sawa lakini maadili yamebadilika sana siku hizi
Mleta mada ana nia njema tu ya kuelemisha.
Unaingia offisini au dukani au hata hospital unamkuta kijana unamzidi umri halafu anakuambia " eehee nikusaidie nini?'
Haijalishi eti lazima utoe shikamoo lakini hata habari gani mzee inatosha.

Ila sasa ukitaka uisikie hiyo shikamoo subiri akuijie na shida
Sio uongo ukiwa na shida utaitoa tu bisha sasa hahaha
 
Back
Top Bottom