Amkia dogoMambo khantwe.
Haha.. unavyopenda ukubwa sasa.Amkia dogo
MarhabaaaHaha.. unavyopenda ukubwa sasa.
Haya shikamoo dada khantwe.
Unapenda kuamkiwa eeeh?Marhabaaa
Wazee wakoloni ndio wataona mambo magumu ila wazee waliopitia UK hawana kokoro na mtu.Inawezekana sana mkuu, ila wazee watanung'unika kwamba wanadharauliwa/ kuvunjiwa heshima.