Salamu imegeuka dili mjini

Salamu imegeuka dili mjini

Kusalimiana ni ishara ya upendo, kama mtu atakusalimie na kushika hamsini zake sawa.
Tatizo ni ule unafiki wa kumkimbilia mtu mpaka unamshika na mkono na kuanza kujichekesha kisa ana hela
Au unahitaji kumpiga mzinga, hao ndio wanafiki sasa
Ila ukisalimie na kupita zako ni wajibu
 
Una show love.
 
Back
Top Bottom