Salamu Kutoka kwa Bujibuji

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wapendwa nina wasalimu kwa kuwatakia amani tele.
Leo nimekutana na kaka yangu Bujibuji kasema amepigwa ban, na huu ndio ujumbe wake kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Kusosoa Tigo ni dhambi tu !
Haijalishi umesosoa ndani ya kopo au nje ya kopo.
 
Mamndenyi hebu njoo ujibu kesi yako huku mahakama ya kichochoroni
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo bro Bujibuji

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha. Yeye ndo aache roho mbaya. Huku kwetu kwa mtogole mapaka shume yanaliwa
 
Mama JJ ndo ujue mambo ya mujini,
na umwambie huyo jirani sijui mchumba
au hata hawara yako Bujibuji awe anaangalia namba
za kuchapisha kwenye plate namba yake.

Roho mbaya anayo yeye mwenyewe
kufuata makoloni ya wenzie sasa yamemkuta.
 
Last edited by a moderator:


Nini kinaendelea hapa? Kwani Bujibuji kesharudi uraiani?

Nataka kulewa!!!!!!!!!!! Lady doctor niletee ile whiskey nichangamshe kichwa.....!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…