Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wapendwa nina wasalimu kwa kuwatakia amani tele.
Leo nimekutana na kaka yangu Bujibuji kasema amepigwa ban, na huu ndio ujumbe wake kwenu.
Leo nimekutana na kaka yangu Bujibuji kasema amepigwa ban, na huu ndio ujumbe wake kwenu.
WASWAHILI TUNA ROHO MBAYA
MPAKA SHETANI ANATUOGOPA. Kuna
mtu kajibunia mradi wa kufuga kuku wa
nyama na mayai, baada ya miezi
kadhaa kaanza kuingiza cash! Jirani
kuona hivyo, akaamua auze gari,
akejenga mabanda na kufuga vicheche
na mapaka shume ili wamalize kuku
wa jirani yake
Last edited by a moderator: