Salamu kutoka kwa Liam Wyatt

McCollum

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2023
Posts
384
Reaction score
684
Habari kwa wakongwe na wageni wa jukwaa hili (JF), baada ya kuzunguka huko duniani kwa miaka mingi leo nimeona rasmi niingie humu na kuwa mwanachama rasmi.

Nawapongeza members wote ambao kupitia michango yao (replies) JF imekuwa kama reference ya vitu vingi vinavyotafutwa katika injini pekuzi (search engines).

Salam kwa moderators wote, kazi yenu mnaifanya barabara
 
Karibu sana kijana
Ni vizuri ukiambatanisha na picha yako ili moderators wakutambue
 
Moderators wana"deal" na contents na sio picha kama ulivyoandika hapo juu. Herio mbona una mambo mengi sana? 😂
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…