Salamu kutoka Marekani: Nimekula taco, ni tamu sana

Salamu kutoka Marekani: Nimekula taco, ni tamu sana

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Wakuu vyakula vya Marekani sio vyepesi sana kujisosomola maana mimi nishazoea ugali mgumu sasa huku ni mwendo wa madude fulani ya ajabu ajabu.

Ila nikasikia wanasifia sana Taco nikaona ngoja nilo hilo taco wanalolisifu.

Aisee taco ni tamu mno, na leo nitakula matako mengine.

26018_new_double_stacked_taco_269x269.jpg

Picha ya Taco​
 
Marekani tumeenda darasa la nne . Route yetu yetu ilikuwa kia to ml. nyerere airport int airport halafu tukaa hapo 35 m tukaingia ndege hadi asubuhi tukamkia amsterdam, tukala breakfast tu nzuri hapo tukazunguka hadi mchana ndege ikaenda hadi minneapolise so huko tumeendaga sii mara moja .
 
Minneapolise❌
Minneapolis ✔️
 
Back
Top Bottom