Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Wapenda GOTI huu uzi watauvamia kwa pupaMtanzania na mwana JF wa kwanza kuishi Marekani leo amekula TAKO. 😀😀😀😀
Badala umwambie ipo siku watakwambia akapimwe tako ataenda ndio yatakua yale tushampote Profesa JanabiAngalia usipatwe na uraibu wa kula ilo taco,ukasahau vyakula vingine
Wewe unafikiria kitundu huzuni tuKudadeki akiri yangu ilinipeleka kule kwa amended
Minneapolise❌Marekani tumeenda darasa la nne . Route yetu yetu ilikuwa kia to ml. nyerere airport int airport halafu tukaa hapo 35 m tukaingia ndege hadi asubuhi tukamkia amsterdam, tukala breakfast tu nzuri hapo tukazunguka hadi mchana ndege ikaenda hadi minneapolise so huko tumeendaga sii mara moja .
au Menopause😪💃Minneapolise❌
Minneapolis ✔️
Kichwa chako😅au Menopause😪💃