Youtube hapa hadi leo nikiingia kwa kutumia chrome video hazi play mkuu. -- unaita hii sio censorship?Karibu nikufundishe jambo, shuka nayo.
"Kiongozi anayejiuzulu kwa hila halafu anaanza kutoa kauli kama Nabii wa ukweli, anapaswa kufundishwa kuwa heshima ya uongozi haibebwi kwa mdomo unaolalamika sana, bali kwa uthubutu wa kupambana kutoka ndani mpaka mwisho." – Alloyce, P.R.
Baada ya nukuu hiyo nianze kukujibu kama ifuatavyo:
1. Hoja ya “Collective Responsibility” na Kujiuzulu
Umesema Polepole alitekeleza hatua ya kujiuzulu na sasa yuko huru kuzungumza. Lakini umesahau kwamba kujiuzulu kwa hila na kisiasa hakumfanyi kuwa mtakatifu wa hoja. Kama mtu alikaa kwenye mfumo, akanufaika, akashindwa kusimama ndani ya vikao na kutoa msimamo wake hadharani wakati huo, sasa anaposema aliyoyasema baada ya kuchoka kunufaika, hiyo si falsafa bali ni ujanja wa kisiasa unaovaa joho la busara.
2. Hoja ya “Hii si chuki, bali falsafa tofauti”
Falsafa ni hoja inayojengwa juu ya misingi ya mantiki, tafakuri, na maadili. Lakini Polepole hakutoa hoja za kimaadili au sera bali, alikejeli, na alitumia lugha ya kubeza kama “Serikali haina mwenyewe” na “wamejaa wahuni.”
Hiyo si falsafa, ni kero ya kisiasa. Kama ni falsafa, tupatie kanuni, si matusi.
3. Hoja ya “Tusimjadili Polepole, tudadisi hoja zake”
Hii ni changa la macho. Katika maadili ya siasa za uwajibikaji, **hoja huungwa mkono na tabia ya msemaji. Mtu aliyekuwa sehemu ya ukimya wa mabaya, akafumba macho, sasa hawezi kuwa kipimo cha ukweli hadi ajitathmini kwanza na kutubu hadharani.
Kama hatuwezi kumjadili Polepole, tusijadili hata aliyoyasema, maana ni vigumu kutenganisha sumu kutoka kwenye kikombe kilichojaa makosa yake ya awali.
4. “This is simple bloody censorship”
Hapana. Censorship ni pale ambapo mtu anazuiwa kwa nguvu za kiserikali au za kisheria kuongea. Lakini kukosolewa kwa nguvu na kwa hoja ni sehemu ya uhuru wa maoni pia.
Kama yeye ana haki ya kusema “Serikali imejaa wahuni”, sisi tuna haki kusema “Alikuwa wa kwanza kuwaleta.”
Nimalize na nukuu hii,
"Kama ulikuwa dereva wa basi la hovyo, ukalivuruga njiani, ukashuka kwa hasira, kisha ukarudi kwa abiria na kusema dereva mpya hajui kuendesha, hapo unakuwa huna hoja, una kisasi cha kutoridhika kuachwa kushika usukani." — Alloyce, P.R.
Mimi kwangu zina play mkuu, ndio maana nimechambua alichokisema nikaweka kwa ufupi. 😂😂 Sijajua tatizo kwako ni lipi.Youtube hapa hadi leo nikiingia kwa kutumia chrome video hazi play mkuu. -- unaita hii sio censorship?
Duh, mimi chrome toka siku ile youtube haitoboi zaidi ya zike shorts video tu.Mimi kwangu zina play mkuu, ndio maana nimechambua alichokisema nikaweka kwa ufupi. 😂😂 Sijajua tatizo kwako ni lipi.
Mimi nina kama miezi 6 sijaingia mtandao wa X mkuu, niliona watu hawajadili issues ni matusi tu. Sasa sijajua kinachoendelea, ila nitajaribu kuingia nione kama kutakuwepo na hiyo changamoto. Shukrani kwa taarifa mkuu.. 🙏🙏Duh, mimi chrome toka siku ile youtube haitoboi zaidi ya zike shorts video tu.
Ila kwenye browser zingine safi.
Censorshipnya twitter nayo unaizungumziaje?
Wewe ngumbaru ushaongeza neno halafu unasema huongezi neno?Sawa ngumbaru mwenzangu. Siongezi neno😂😂
😂Huo ujumbe katumiwa Nan sasa au shumileta wa kizimkazi
Hivi kati ya aliyejiuzulu na anayeendeleza utekaji, mauaji, ufisadi, nk, ni yupi mvurugaji?
Sasa huo ndio ungumbaru wenyewe, baada ya kusema "siongezi neno" niliweka emoji, je emoji ni neno? 😂😂Wewe ngumbaru ushaongeza neno halafu unasema huongezi neno?
Halafu nani kakupa haki ya kuamua huongezi neno?
Sasa hapa napo umeweka emoji tupu wewe ngumbaru Pro Max?Sasa huo ndio ungumbaru wenyewe, baada ya kusema "siongezi neno" niliweka emoji, je emoji ni neno? 😂😂
Wewe unawajua hao wanaoteka na kuua? 😂😂Hivi kati ya aliyejiuzulu na anayeendeleza utekaji, mauaji, ufisadi, nk, ni yupi mvurugaji?
Hachaneni na Mamotivation quote yasiyokuwa na kichwa Wala mkia....iyo inadhiirisha uwoga ulivyokithiri ndani ya nchi hasa kwa watu km wanaume mwenye ndevu...eti unafurahia kuitwa chawa.
Bila VPN hutoboi mkuu, issue ya matusi kuna mambo mawiliMimi nina kama miezi 6 sijaingia mtandao wa X mkuu, niliona watu hawajadili issues ni matusi tu. Sasa sijajua kinachoendelea, ila nitajaribu kuingia nione kama kutakuwepo na hiyo changamoto. Shukrani kwa taarifa mkuu.. 🙏🙏
Hii sasa ndio shida yenu wafia CCM,Wewe unawajua hao wanaoteka na kuua? 😂😂
Unaelewa maana ya "motivational quote"? Na nani amefurahia kuitwa chawa? Jifunze kusoma kwa utulivu kisha utoe comment.Hachaneni na Mamotivation quote yasiyokuwa na kichwa Wala mkia....iyo inadhiirisha uwoga ulivyokidhiri ndani ya nchi hasta kwa watu km mwanaume mwenye ndevu...eti unafurahia kuitwa chawa.
Shem on you ..
Sasa hapo kosa langu ni lipi mkuu 😂😂Hii sasa ndio shida yenu wafia CCM,
Nyumba mbovu miundombinu tunahama na tunataja sababu za kuhama wewe chawa usitupangie cha kuongea bando ni letu la kuendea live hajatupa shumileta!