Salamu kwa Balozi Humprey Polepole na wanaong'atuka au kung'atuliwa madarakani

Youtube hapa hadi leo nikiingia kwa kutumia chrome video hazi play mkuu. -- unaita hii sio censorship?
 
Youtube hapa hadi leo nikiingia kwa kutumia chrome video hazi play mkuu. -- unaita hii sio censorship?
Mimi kwangu zina play mkuu, ndio maana nimechambua alichokisema nikaweka kwa ufupi. πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijajua tatizo kwako ni lipi.
 
Mimi kwangu zina play mkuu, ndio maana nimechambua alichokisema nikaweka kwa ufupi. πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijajua tatizo kwako ni lipi.
Duh, mimi chrome toka siku ile youtube haitoboi zaidi ya zike shorts video tu.

Ila kwenye browser zingine safi.

Censorshipnya twitter nayo unaizungumziaje?
 
Duh, mimi chrome toka siku ile youtube haitoboi zaidi ya zike shorts video tu.

Ila kwenye browser zingine safi.

Censorshipnya twitter nayo unaizungumziaje?
Mimi nina kama miezi 6 sijaingia mtandao wa X mkuu, niliona watu hawajadili issues ni matusi tu. Sasa sijajua kinachoendelea, ila nitajaribu kuingia nione kama kutakuwepo na hiyo changamoto. Shukrani kwa taarifa mkuu.. πŸ™πŸ™
 
Wewe ngumbaru ushaongeza neno halafu unasema huongezi neno?

Halafu nani kakupa haki ya kuamua huongezi neno?
Sasa huo ndio ungumbaru wenyewe, baada ya kusema "siongezi neno" niliweka emoji, je emoji ni neno? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa huo ndio ungumbaru wenyewe, baada ya kusema "siongezi neno" niliweka emoji, je emoji ni neno? πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hapa napo umeweka emoji tupu wewe ngumbaru Pro Max?

Unajikojolea na kujinyea ungumbaru mtupu wewe guluguja ngumbaru.
 
Mimi nina kama miezi 6 sijaingia mtandao wa X mkuu, niliona watu hawajadili issues ni matusi tu. Sasa sijajua kinachoendelea, ila nitajaribu kuingia nione kama kutakuwepo na hiyo changamoto. Shukrani kwa taarifa mkuu.. πŸ™πŸ™
Bila VPN hutoboi mkuu, issue ya matusi kuna mambo mawili

1. Unaengage na community gani

2. Ni kweli lugha ya matusi huko ndio nyumbani kwake --- na kwa lugha nyingine ndio jamii yenyewe ilivyo.

Hapa JF wanajitahidi kudhibiti la sivyo ingekuwa kama X tu.
 
Hachaneni na Mamotivation quote yasiyokuwa na kichwa Wala mkia....iyo inadhiirisha uwoga ulivyokidhiri ndani ya nchi hasta kwa watu km mwanaume mwenye ndevu...eti unafurahia kuitwa chawa.
Shem on you ..
Unaelewa maana ya "motivational quote"? Na nani amefurahia kuitwa chawa? Jifunze kusoma kwa utulivu kisha utoe comment.
 
Sasa hapo ndo umejibu HOJA nzito za Polepole au umefanyaje? Kwani Polepole ametokaje kwenye hiyo nyumba? Mbona bado yupo CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…