Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nimeichota sehemu kwenye forum ya wakongwe fulani na jamaa mmoja katoa hii kali.
Uchawa ni uchawa na ni mbaya hata kama unavaliwa na profesa au ombaomba. Hatuwezi kuendekeza uchawa kwa kuuza nchi yetu, mali zake, na watu wake. Never. It can't be us.
Japo ni chaguo la mtu kuwa chawa na kuacha kuwa mtu, hatuwezi kukaa na kushangilia na kumtukuza chawa, kiumbe mdogo na mchafu ili tujaze matumbo yetu yasiyo na shukrani. We need to sweep the house by taking chawas on kwa sababu watatunyonya.
Hata kama wapo wanaopenda uchafu na kukaribisha machawa, siyo wote tuwe wachafu wa mwili na roho kiasi hiki. Uchawa ni matokeo ya uchafu uwe wa kimwili au kiroho hasa pale unapopewa kicho na kiti mbali na kuendekezwa na kutukuzwa. Concept ya uchawa ni ushahidi kuwa a) wanaoubariki ni wachafu b) ni kufilisika kiakili na kisiasa, na ni hatari kwetu sote wakiwamo machawa.
Akina Mobutu walikuwa na michawa waliyoinenepesha hadi ikalingana na ngumi lakini mwisho wa yote waliteketea na chawa wao. Tanzania ni ya watanzania lakini si ya chawa wawe watu au wadudu. Nawachukia chawa hasa katika karne hii ya kimaendeleo.
Msiwaonee aibu wala huruma chawa. Tell them to their faces that we don't endorse licism aka uchawa even laicism if I may say Who wants medusa in this century? Don't those who venerate lice know the history of medusa? If they are able, let them revisit this evil female.
Je wanangu mnasemaje kuhusiana na uchawa na mnawambia nini chawa na mfugaji wao?