Salamu kwa dear ex...✉✉📩📝

Salamu kwa dear ex...✉✉📩📝

El khelafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
211
Reaction score
493
Ndugu zangu mapenzi yanatesa sana, inabidi nianze kumpa salam dear ex

Dear ex popote ulipo, nimepata manzi mkali kuliko wewe.

Dear ex simu za usiku sitaki

Dear ex undugu na ndugu zangu sitaki
 
Ndugu zangu mapenzi yanatesa sana, inabidi nianze kumpa salam dear ex

Dear ex popote ulipo, nimepata manzi mkali kuliko we we
Dear ex simu za usiku sitaki
Dear ex undugu na ndugu zangu sitaki
Mbona fupi,
=
Haya verse zaidi hiz hapa
=

Ndugu zangu mapenzi yanatesa sana,
Inabidi nianze kumpa salam dear ex

Dear ex popote ulipo,
Nimepata manzi mkali kuliko we we
Simu za usiku sitaki,
Undugu na ndugu zangu sitaki

Nimepata upendo mpya,
Nafurahia maisha yangu
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

Nimepata upendo mpya,
Nafurahia maisha yangu
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

Nimepata mtu anayenipenda,
Anayenithamini kama nilivyo
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

Nimepata mtu anayenifurahisha,
Anayenipa furaha na amani
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

Nimepata mtu anayenijali,
Anayenipa upendo wa kweli
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

Nimepata mtu anayenifaa,
Anayenikamilisha kwa kila njia
Dear ex, usijali,
Nina furaha bila wewe

** Tafuta studio uingize vocal**
 
Palee unajidai unajidai umepata unatusumbua na kile ki~verse cha lavalava "Najiamini niko peke yangu ndio maana natamba sina shaka hofu kwa raha zangu hata mkinichamba" halafu unapigwa muacho mmoja unaanza "Mimi ni mpitaji katika dunia makao yangu ni kwa baba tu"

Oya mambo ya mahusiano ni ya kukaa kimya otherwise utakuja kupaisha mdomo juu na kilio cha ngamia..shauri yako.
 
Ndugu zangu mapenzi yanatesa sana, inabidi nianze kumpa salam dear ex

Dear ex popote ulipo, nimepata manzi mkali kuliko we we
Dear ex simu za usiku sitaki
Dear ex undugu na ndugu zangu sitaki
Mbona nikama wewe ndio bado unaumia....🤨
Alafu nikama tu umemkumbuka huyo halahala....😜
 
Back
Top Bottom