Salamu kwa Marioo

Salamu kwa Marioo

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli.

Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie rendition na aje na "Ndoa tamu". Nakuhakikishia mdogo wangu utakamata hadi ushangae. Ila jambo moja, hili wazo fanya kama nimekuuzia. Ukishapiga hela za kutosha nitafute unitoe kidogo. Fanya hivyo kabla hawajakuwahi wadandiaji
 
Mambo ya haki miliki
 
marioo ni zaidi ya Diamond....... hutaki sikulazimishi endelea na makelele na matusi yenu


Kwani Marioo kuimba anawashwa washwa sio matusi? Anawashwa washwa nini sasa?
 
Back
Top Bottom