Salamu kwa vijana wadogo wenye vipara (ualaza)

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Whether ni kipara au kipala, salamu kwa wale hasa ambao wako chini ya miaka 30 lakni nywele za kichogoni na mbele zineisha au kudhoofika.

Tuko pamoja katika hili,, usipoteze muda huwezi kutibu, kikubwa jikubari, nyoa mara kwa mara kisha tafuta HELA na HEKIMA ( ELIMU).
 
Kwani ni mapungufu ama ugonjwa kuota para under 30s age
 
Kama ndio nywele zinaanza kupotea tumia mafuta ya soul mate huwa yanasaidia kuotesha/kukuza nywele.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakuwa kama yule wakili AlbertMsando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…