TANESCO wangekuwa na efficiency ya kuweza kupanga umeme unakatika wapi, na saa ngapi, ningeweza kusema kuna conspiracy imepangwa hapa.
Lakini hata uwezo huo hawana, hivyo inawezekana kabisa hili lilikuja bila kutarajiwa.
Wahindi wanakwambia "Karma" hiyo, unavuna ulichopanda. Huwezi kupanda ahadi tupu na kuvuna umeme wa uhakika.