Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Ndo maana nakwambia wewe akili huna, mara zote Musk anakaa upande wa washindi au walio wengi.
Musk anajinasibu kama African kama Mu-Israel wa hiali, rafiki wa Trump lakin pia Mkristo.
Hizo zote ni pande zenye nguvu kibiashara so anacholenga yeye ni Market sio Pepo
Mcha Mungu ukishampata tu katika maswala ya imani basi umempata pote.
Sawa mkuu japo siamini.
 
Mtambachuo we unavyoona hizi dini watu wanazipigania na mpaka kuingiza raia katika vita unadhani ni kwa sababu ya kuitafuta Pepo?
Mwenye nguvu ndiye mwenye uchuni na ukifanikiwa kuwateka watu katika mambo ya imani tayari umepata jeshi lenye nguvu.
Huu Uislam na Ukristo mnaorushiana madogo mitandaoni kuna watu ni mafanikio kwao afu kuna wewe hapo unachekelea, kulialia na kutia huruma na mambo yako ya rohoni.
Wanachekelea nini? wananufaikaje?
 
Back
Top Bottom