Mtambachuo we unavyoona hizi dini watu wanazipigania na mpaka kuingiza raia katika vita unadhani ni kwa sababu ya kuitafuta Pepo?
Mwenye nguvu ndiye mwenye uchuni na ukifanikiwa kuwateka watu katika mambo ya imani tayari umepata jeshi lenye nguvu.
Huu Uislam na Ukristo mnaorushiana madogo mitandaoni kuna watu ni mafanikio kwao afu kuna wewe hapo unachekelea, kulialia na kutia huruma na mambo yako ya rohoni.