Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anajielewa sana. Sema watu Fulani wanamchukulia poa tu. Ipo siku atakuwa pale.
View attachment 2634441
[/QUOTEakomae
Akomae tu Cuba ni safari apige PhD Hata 3 tofauti hakuna jinsi akichoka anunue suit Miami arudi havanna ....miaka 10 tutamsahau
Ni vigumu sasa hivi kwa Afrika kuwa na Imani ya Tanzania kuwa kiongozi wa Bara hili South of the sahara.Wengine tunasubiri siku Afrika itakuwa nchi moja na Tanzania iwe kama mkoa tu ili tuache upumbavu katika bara letu adhimu. Tuombe uzima tu.
Polepole anajitambua sana,ndio maana establishment inamnyanyapaa.Status quos huwa hazitaki watu wanaojitambua,wanataka watu wa kuburuza buraza tu.Huyu jamaa anajielewa sana sema watu fulani wanamchukulia poa tu. Ipo siku atakuwa pale.
View attachment 2634441