Salamu tu

Salamu tu

Joined
Sep 1, 2016
Posts
15
Reaction score
0
Habar jmn mie mshamba sijui mnavyotumia jamii hii mnifundishe pleas[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ni pm kisha tuma buku 5 nikuelekeze hadi kubold na kuweka maneno rangi
Habar jmn mie mshamba sijui mnavyotumia jamii hii mnifundishe pleas[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unaanzisha hadi uzi haf unasema hujui kutumia jf.

Unajua kuhesabu machungwa na kuhesabu maembe nayo unahitaji kufundishwa.
 
Umeweka avatar,umeanzisha thread,bila shaka kuna avatar za kike zishakuvutia ukawaPM bila kusahau umepatia kumquote Mondray hapo juu

For starters matumizi yanakutosha kabisa hayo
 
Back
Top Bottom