Salamu ya Freeman Mbowe yaamsha ari Mahakamani, ni ile ile ya no hate no fear

Salamu ya Freeman Mbowe yaamsha ari Mahakamani, ni ile ile ya no hate no fear

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu duniani wako wachache mno .

Hebu sikieni na kuona wenyewe Mbowe akisalimia baada ya kuingia mahakamani .

Proffesa Jay anaumwa
Chadema tunaomba michango na uhamasishaji kama chama..
Sio michango ya Mbowe Tu wakati Jay Yuko mahututi
Nadhani kama Chama na Kanda huko aliko watatupa taarifa Rasmi. Ni muhimu sana afya ya mtanzania mwenzetu
 
Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu duniani wako wachache mno .

Hebu sikieni na kuona wenyewe Mbowe akisalimia baada ya kuingia mahakamani .

View attachment 2114323
Mungu ibariki CHADEMA
 
Dhaifu, wanajiabisha wenyewe
Jaji awe muangalifu sana katika undeshaji wa kesi hii na maamuzi atakayokuja kuyatoa yatamgarimu milele na kizazi chake ajue kuna kitabu lazima kitungwe na kitasomwa duniani kote na nina hakika shule za sheria zita kitumia hivyo Jaji Jaji Jaji kuwa mwangalifu asiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa
 
Back
Top Bottom