Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
He is an arrow of God.Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu duniani wako wachache mno .
Hebu sikieni na kuona wenyewe Mbowe akisalimia baada ya kuingia mahakamani .
View attachment 2114323