Salamu za Askofu Bagonza kwa Makalla na Wenzake, Sisi Tumeshazipokea. Mwenye Kusikia na Asikie.

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka,pigo takatifu.
 
Huu muungano sijawahi kuuelewa hata kidogo, hivi Nyerere alikuwa anawaza nini, unaweza kudhani karume ndo alikuwa msomi zaidi ya nyerere, huu muungano unawafaidisha Zanzibar kuliko Tanganyika
Wale jamaa ni washirikina haswa itakuwa walimloga Teacher akaingia cha kike, hakuna manufaa yoyote ya kuungana na Zanzibar zaidi ni hasara kubwa kwetu bara
 
YESU sio Nabii Issa. Tafadhali futa hapo. Hayo sio maneno ya Askofu
Ni ngumu sana kumuelewa Askofu Bagonza na falsafa zake kama utasoma maandishi yake kama hadithi za Alfu lela ulela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…