Salamu za Askofu Bagonza kwa Makalla na Wenzake, Sisi Tumeshazipokea. Mwenye Kusikia na Asikie.

Wewe dada angu huna akili, field nipo sana na watu wanapata elimu ya uraia
Tarehe 23/9/24 Field alikuwepo mtoto wa mbowe na mbowe wewe mama yake mdogo hukuonekana unakuja hapa jukwaani na vitenge vyako vya batiki na kilemba cha kikongo unaonyesha mapaja na kusema na pua mimi nipo field..habithi la ammary!
 
Tarehe 23/9/24 Field alikuwepo mtoto wa mbowe na mbowe wewe mama yake mdogo hukuonekana unakuja hapa jukwaani na vitenge vyako vya batiki na kilemba cha kikongo unaonyesha mapaja na kusema na pua mimi nipo field!
Kwanini na mumeo hakutokea?
 
YESU sio Nabii Issa. Tafadhali futa hapo. Hayo sio maneno ya Askofu
UMENENA VYEMA KABISA..
Wao wanasema nabii wao issa hakufa/Hakusulubiwa msalabani...
SISI YESU WETU ALIKUFA NA AKASHINDA UMAUTI.
 
Naenda ibadani lakini Bwana anatualika akisema, “Haya Njooni Tusemezane, dhambi zenu zikiwa nyekundu kama damu, nitazisafisha ziwe nyeupe kama theruji ” ( Isaya 1: 18).
Hawawezi kukuelewa hata kwa dawa
 
Huyu Phd yake anaitendea haki.

Ni kiongozi wa dini asiyemumunya maneno kwa kuuma na kupuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…