Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mwigulu Lameck Nchemba

Duh ndio nimejua leo kuwa huyu mbunge wa singida ka ukwaa uwaziri mkuu , kongole kwake aisee 👏
 
Heri ya Sikukuu ya Pasaka

Ninaungana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Watanzania wote Pasaka njema yenye furaha na baraka tele.

Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, na tuendelee kuenzi mafundisho ya upendo, mshikamano na kujitoa kwa ajili ya wengine katika kujenga Taifa letu.

Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki Tanzania na kudumisha amani na umoja wetu.

Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 

Attachments

  • IMG-20260405-WA0042.jpg
    313.7 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…