Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado iko na Nuru juu yenu, siasa ni sawa na mchezo wa basketball substitutions ni muda wotewote na hata kocha nae akikosea sub hujirekebisha.
Tunaendelea kuweka kumbukumbu kwa usahihi kwa wote wanaowakejeli kwa namna na njia zozote zile. Wanaodhani mmeanguka wanakosea na hawajitambui.
Urafiki na undugu wetu sio wa barabarani na kamwe hautaisha ingali tu hai haijalishi majukumu yetu na kipato chetu kutokuwa kama mlivyo ninyi, Bali sisi tunatambua ninyi ni familia yetu nje ya CCM na ndani ya CCM.
Mungu awape amani na furaha popote mlipo. Yeye Mungu wa Leo ndiye yule wa jana na kesho na hata milele.
Wenu rafiki yenu wa nyakati zote itabaki kuwa hivyo forever.
Wadiz (Chief Wadiz)