Salamu za kheri kwa January Makamba na Nape Nnauye

Nyie wakina shalom ndo wachawi sana
 
 
We January Makamba tumekuwekea mtego shindwa tu kuvumilia ujichanganye ukairudie ile account yako ya Kigogo2014 kule twitter uanze kutukana serekali kama kawaida yako
Mku tujuze vizuri, kwa yeye ndiye!
 
CCM hii hii ilimueka MAKONDA benchi ikaja mrudsha kwa SPEED ya 5G

Tuwekeni akiba ya maneno, CCM hii ile ile surprise haziiiishi.
 
WAKAJIAJIRI WAACHE KULIALIA MITANDAONI.

MBUNGE WA MTAMA ILA ANAISHI KAWE HAYA NI MAAJABU TENA ALIPITA BILA KUPINGWA.
 
Are they died? Mbona unalia sasa?

Hii ngumi imeingia barabara kwenye chembe. Walijiandaa kurithishana madaraka na kwa mbinu zile zile zilizojenga mtandao miaka kadhaa. Ule mtandao ambao mpaka leo unaligharimu Taifa.
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho. Bahari inapochafuka na mashua kurushwa juu na kwenda chini, kutoka upande mmoja kwenda mwingine, kuna vitu vitachanganyana kiasi kwamba kuvitenganisha labda uvivunje ujue moja.
Yes, in the middle of the crisis, lies the opportunities. Other people will come and shine for sure. Ila kuongozwa na watu wasio na uwezo ni dhambi kubwa, Mwenyezi Mungu atuepushie mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…