Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Keypoints:
- Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana.
- Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine.
- Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji wa uhakika na kwa bei nafuu wa umeme.
- Rais Samia kafanya jambo jema kumtoa January Makamba wizara ya Nishati. January Makamba na Nape Nnauye ni kero kwa watu wengi Tanzania.
View: https://youtu.be/f91L0vbfd9U?si=geIC9nhdai_OxbAZ