secretarybird
Tuifate njia ya kwenda ya mbinguni,
wewe ni waridi lenye kunukia...
R.I.P Mama Jenister
Rais wa wapi huyo muhalifu ☠☠Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
View attachment 3514197
Hiyo ni nyimbo ya msibani nimeisahau sijamaanisha waridi la ccm mkuu,hakuna waridi CCM
shetani kampangia majukumu mengineHiyo ni nyimbo ya msibani nimeisahau sijamaanisha waridi la ccm mkuu,
Aseehshetani kampangia majukumu mengine
Aisee! Apumzike mahali panapostahili.
R.I.P Jenister Muhagama. Pole ParamihoNimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
View attachment 3514197
Yupo Live TBC Kaangalie.Salama kwa njia ya video itapemdeza Sana
amelipwa na wazungu ili afe alichafue taifa letu ni vita ya kiuchumi hiiR.I.P Jenister Muhagama. Pole Paramiho
Kumbe shida yote ilianzia hapa ...msujudie Bwana Mungu wako nas si vinginevyo
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake bila kuchelewa wala kuwahiamelipwa na wazungu ili afe alichafue taifa letu ni vita ya kiuchumi hii
sio wote wengine shetani anawapangia majukumu menginekila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake bila kuchelewa wala kuwahi