Salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kufuatia kifo cha Jenista Mhagama

Salamu za pole kutoka kwa Rais Samia kufuatia kifo cha Jenista Mhagama

Maccm yanaenda JEHANAMU kizembe sana. Kisa tamaa ya fedha na madaraka. Yapo tayari kuroga, kuiba uchaguzi, kuua, nk nk. Mungu hadhihakiwi. Ingawa kifo kipo kwa wanadamu, lakini siku ya kufa mtu fulani Tanganyika itarindima kwa furaha.
Ndio yule aliyekuwa anagaragara mavumbini kusujudia vyeo wakati fulani ? 😲
 
Maccm yanaenda JEHANAMU kizembe sana. Kisa tamaa ya fedha na madaraka. Yapo tayari kuroga, kuiba uchaguzi, kuua, nk nk. Mungu hadhihakiwi. Ingawa kifo kipo kwa wanadamu, lakini siku ya kufa mtu fulani Tanganyika itarindima kwa furaha.
Hakika
 
Eti rais,???

Alichaguliwa na nani huyo muuaji???

Kifo ni kifo sisi tunajua hilo hakuna haja,ya wasiochaguliwa na wako mafichoni kutoa pole feki.
 
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, wananchi wa Jimbo la Peramiho, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Kwa miaka 38, Mheshimiwa Mhagama amekuwa mwanachama mahiri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiongozi wa vijana, kiongozi wa wanawake, waziri katika awamu mbalimbali na mnasihi wa wengi katika siasa na maisha.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

View attachment 3514197
Dunia hii tunapita tuache kuumizana
 
Rais ongea kwa video tumemisssauti ya rais wetu kipenzi,naana tangu kikao cha wazeesijamwona,jqmani hata uhuru day hajatuhutubia
 
Back
Top Bottom