Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

Salamu za pole kwa ajali ya Jengo la Kariakoo

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
POLE KARIAKOO.jpeg
 
Afadhali mmekuwa Waungwana na kutoa Pole kwa Wadau wenu wakubwa wa Masuala ya Kodi huko Kariakoo.
Hongereni kwa suala hili.

Aidha, napenda kuwashauri TRA kwamba muwatume maafisa wenu kwenda kwa mmiliki wa jengo lililoporomoka ili awapatie Orodha kamili ya Wapangaji wake ambao wameathirika na janga hili ili kusudi kuweza kuona namna ya kusimamisha au kusitisha kwa muda status yao ya ulipaji wa Kodi zao kwa TRA katika kipindi hiki kigumu cha janga hili.
Kwa maoni yangu, Orodha sahihi ya Wahanga wanaostahili kusitishiwa kwa muda malipo ya Kodi yafaa muipate kutoka kwa Mmiliki wa jengo ili kuepusha matapeli ambao nao wanaweza wakajipachika au wakajipenyeza kwenye orodha ya Wahanga wa janga hili ili nao wapate grace period ya kutolipa Kodi ya Serikali.
Kumbuka: Kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani!
 
Acheni wenge nyie TRA wazembe na wala rushwa wakubwa
 
Back
Top Bottom