PostGE2025 Salamu za Pongezi kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa Naibu Waziri mpya wa Elimu, Wanu Hafidh

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

Hizi taasisi zimebadilika sana. Siku hizi zinagawa pongezi kama njugu mawe!
1763536518083.jpeg
 
Kale ka Anangisye ni kachawa promax...huoni kalivyokimbilia kuukana ule waraka wa kisomi wa UDASA? Kanaogopa masikini kataondolewa uVC.

UDSM pale chancellor ni JK na hakuna jipya pale. Ndiyo maana hata VC anayeandaliwa ili kuja kuwa VC wa kwanza mwanamke (Prof. B.K) ni kimada wa kudumu wa yule jamaa wa REDET ambaye naye ni mtu wa karibu wa JK tangu wakati akiwa VC.

Siku hizi ni aibu tupu hata kwenye hizi taasisi ambazo ungezitegemea ziwe nguzo angavu kwenye gizo totoro tulilomo.

Pale ni jalalani!
 
Hivi Anangisye ni mchaga au muhaya? Kuna kitu nataka kung'amua.
 
Nadhani ni Kanyakyusa kale!

Sijui Kanyakyusa ka wapi maana Wanyakyusa hatuko hivyo. Sisi ni aina ya akina Mwabukusi...nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Haka ka Anangisye, Tulia na yule mzee wa tume ya uchaguzi wanatuaibisha sana Wanyakyusa!

The worst VC ever!
 
Kale ka Anangisye ni kachawa promax...huoni kalivyokimbilia kuukana ule waraka wa kisomi wa UDASA? Kanaogopa masikini kataondolewa uVC.

UDSM pale chancellor ni JK na hakuna jipya pale. Ndiyo maana hata VC anayeandaliwa ili kuja kuwa VC wa kwanza mwanamke (Prof. B.K) ni kimada wa kudumu wa yule jamaa wa REDET ambaye naye ni mtu wa karibu wa JK tangu wakati akiwa VC.

Siku hizi ni aibu tupu hata kwenye hizi taasisi ambazo ungezitegemea ziwe nguzo angavu kwenye gizo totoro tulilomo.

Pale ni jalalani!
UDSM pale ni zaidi ya jalala kwanini chancellor hawe mwanasiasa sio msomi?
 
ITAKUWA na wao wanataka teuzi ndiyo maana wameamua kumpongeza wanu ili amwambie mama yake na wao wakumbukwe
 
Kale ka Anangisye ni kachawa promax...huoni kalivyokimbilia kuukana ule waraka wa kisomi wa UDASA? Kanaogopa masikini kataondolewa uVC.

UDSM pale chancellor ni JK na hakuna jipya pale. Ndiyo maana hata VC anayeandaliwa ili kuja kuwa VC wa kwanza mwanamke (Prof. B.K) ni kimada wa kudumu wa yule jamaa wa REDET ambaye naye ni mtu wa karibu wa JK tangu wakati akiwa VC.

Siku hizi ni aibu tupu hata kwenye hizi taasisi ambazo ungezitegemea ziwe nguzo angavu kwenye gizo totoro tulilomo.

Pale ni jalalani!
Wanyakyusa siku hizi wamekuwa ni chawa mpaka wamepitiliza! Muangalie Tulia, Mwijaku, Yule mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, huyu makamu mkuu wa Udsm!!

Sasa pongezi za nini hapo kwa binti aliyezawadiwa cheo na mama yake kwa upendeleo! Kwa sababu ni ukweli iliowazi amepewa hicho cheo kwa misingi ya upendeleo. Ila sifa hana.
 
Back
Top Bottom