Salamu za Pongezi kwa Mshana Jr

Salamu za Pongezi kwa Mshana Jr

I know Mkuu and I hope they’ll maintain the same pressure in order to rescue our beloved country from this nightmare.
Mkuu BAK siku mojamoja hua nakuchukia ila nakukubali sana ww ni mzalendo na mpenda mabadiliko wa kweli juu ya nchi yetu...
Heshima yako
 
Hahahahaha lol! Usinichukie Mkuu mie kelele zote hizi ni kwa ajili ya Tanzania yetu na Watanzania bila kujali dini, itikadi wala rangi. Nchi yetu ilistahili kuwa mbali sana kimaendeleo lakini hawa wahuni wanairudisha nyuma miaka nenda miaka rudi kiasi kwamba hatuna hata kimoja cha kujivunia na sasa hivi wameanzisha tabia ya kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu. DIVIDE AND CONQUER.

Kwakweli mm sio mshabiki wa vyama kabisa ila nakuona juhud zako toka enzi hizo mpaka leo, siku ambayo ulitema povu hadi nikaona huruma ni siku ile EL aendee Ikulu..
Kwakweli uliongea sana bila kujali kua ni mtu wenu...
Endeleeni siku moja sauti yenu itasikika mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu kama ulivyoona Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nalo llimechoshwa na Hali hii ya nchi yetu na hivyo kuamua kusema hadharani. Inatia moyo sana kuona kelele zetu humu haziendi bure.

Back
Top Bottom