Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
MIAKA MIWILI YA MH RAISI.jpg
 
Nyie TRA mbona wakati wa Magufuli mahusiano yenu na wafanyabiashara yalikuwa hovyo, ni Magufuli aliyaharibu mahusiano hayo au nyie wenyewe?

cheni unafiki najua siku hizi mianya yenu ya kula na wafanyabiashara imezibwa kwa kiasi kikubwa.

Namshauri Mama Samia awe makini na hii "pongezi" ya TRA, achukulie kinyume chake.
 
Back
Top Bottom