TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Nyie TRA mbona wakati wa Magufuli mahusiano yenu na wafanyabiashara yalikuwa hovyo, ni Magufuli aliyaharibu mahusiano hayo au nyie wenyewe?
Hovyo Tu. Hamna kitu haipo
Acheni kutumia muda wenu mwingi kujipendekeza kwa Mh. Rais! Ni vizuri mkatumia muda wenu kutatua kero za walipa kodi wenu. Maana hao ndiyo wanaowaweka mjini. Sawa?
Tanzania Robbery AuthorityKujipendekeza tu
At least najua kumbe mna ID hapa JF.