Salamu za Shabiki: Taifa Stars Wafungeni Hao Harambee Stars Bao 2 - 0...ili...

Salamu za Shabiki: Taifa Stars Wafungeni Hao Harambee Stars Bao 2 - 0...ili...

kutangulia sio kufika tulizeni makalio mpira ni dakika 90.
 
We jamaa tumeshafunga tayari.
Tatu kwa mbili
 
Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha
 
Back
Top Bottom