Salamu za shukurani kwa walipakodi kwa mwaka wa fedha 2024-2025

Salamu za shukurani kwa walipakodi kwa mwaka wa fedha 2024-2025

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
132
Reaction score
376
Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) imefanikiwa kuvuka malengo iliyowekewa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 kwa kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni 32.26 sawa na asilimia 103.9 ukilinganisha na lengo la shilingi Trilioni 31..05 .

Kwan niaba ya Bodi ya Wakurugenzi ,Menejimenti na Watumishi wote wa TRA , tunatoa shukurani za dhati kwa Walipakodi wote nchini na Wananchi kwa ujumla kwa kulipa kodi.

Tunamshukuru Mhe. Raisi Dkt .Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake thabiti na kwa kuendelea kuhamasisha utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari nchini.

TAARIFA 1.jpeg
TAARIFA 2.jpeg
TAARIFA 3.jpeg
 
Back
Top Bottom