teh teh teh! nilijua yeye ndo mpango mzima, basi ntaacha kuja kwa vitisho ili umpige chini huyo maskini wa hela asiyetaka kufahamika hapa jamvini.....
kumbe wee mlokole? bahati yako, teh teh teh!
sisi wengine hatunaga price bwana........teh teh teh! nilijua yeye ndo mpango mzima, basi ntaacha kuja kwa vitisho ili umpige chini huyo maskini wa hela asiyetaka kufahamika hapa jamvini.....
wewee! acha kudanganywa na chozi la huyo msela, mambo yote ngawira etii!sisi wengine hatunaga price bwana........
yeye ni maskini wa hela lakini ni tajiri wa moyo......
kanikabidhi moyo wake wooootteeeee niufanyie nitakacho.... nami nimemhakikishia come sun come rain ni yeye tu...... hakunaga zaidi yake.
yaani tumejikuta tumekuwa matejaaaaa yasiyopimika.... hii habari wanaijua vizuri mlongo wangu snowhite na rafiki yangu BAK.... hawa wananitia moyo sana ya kuendelea kushikamana huko nilikoshikwa..... siachii ngazi ng'o.......
ha haaaaa, pesa kitu gani zumbemkuu? penzi bwana ndo mambo yote.....wewee! acha kudanganywa na chozi la huyo msela, mambo yote ngawira etii!
njoo kwangu ule pesa, nina kontena la pesa za kigeni....
kumbe Erickb52 ndo mpango mzima?
ngoja nirudi visiwa vya shelisheli, asaiv nipo ndani kwenye kilindi cha bahari tunapewa semina hapa namna ya kujikinga na ajali za angani, nikirudi naanza na huyo umpendae, namgeuza chura tuone utafanyaje.
haya umeshinda, ntakuletea zawadi nikirudi, ngoja nimalize semina hapa, napata maujanja ya wachawi toka nigeria na commoro,ha haaaaa, pesa kitu gani zumbemkuu? penzi bwana ndo mambo yote.....
unatoka na mtu hata humpendi kisa pesa? sasa unakuwa unafaidi nini?
yaani mimi kwangu mapenzi ndo mpango mzima.......nataka nikikuwaza tu nasikia mwili wote umekufa ganzi, na ka-smile ambapo kila anayepita anaona sura yako jinsi inavyomuwaza mpenzi........ siyo unakuwa na mtu sababu ya hela ukimkumbuka sura inakuwa utafikiri umeonyeshwa nanihiiiiii, lol!
wewe kaa na pesa zako tu rafiki, hazinihusu hizo
kila la heri kwa hiyo semina.....haya umeshinda, ntakuletea zawadi nikirudi, ngoja nimalize semina hapa, napata maujanja ya wachawi toka nigeria na commoro,
yule mdogo wako kaolewa?
ha ha haaaaaaaaa, mtatutambua watoto wa kingoni mwaka huu......... mpaka mtoe machozi ya damu...... kita mewawa mlongo wangu Kipipi, fwata nyayo zetu dada zako, upiliki?
ngoja nibadili mbinu, ntaanza na kubadilisha avatarha ha haaaaaaaa, yaani sisi ukoo mzima ni mabinti maringo...... hata wa darasa la kwanza kumpata ni kazi saaanaaaaa, sasa sijui upo tayari?
ha ha haaaaaaaaaaaaa, unataka kuweka kama ya Erickb52? haisaidii...... mwulize mwenyewengoja nibadili mbinu, ntaanza na kubadilisha avatar
kwi kwi kwiiiiii, nini tena rafiki?Hahahahaaaa FP kaua lol