Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

ngoja nibadili mbinu, ntaanza na kubadilisha avatar
Hahhahaaa badili aisee hutotoka bila FP kwanza ana mapozi utadhani miss chitchat lol
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa..... unakumbuka eeeehhhh!
bado kidogo mzee mzima nipoteze step, lol!
bahati nzuri akili akarudi kumkichwa, thanx to teja, lol! (hapa asome mlongo wangu snowhite)
Dah yan siku hiyo nilishamaliza kazi nikawa najiandaa kutoka job nikawa mapitia chap jukwaa ndo nisepe ghafla TANMO akarusha uzi lol nikaudaka juu kwa juu nkauchakachua....hahahahahaaa JF bhana duh utadhani tulipanga
 
ha haaaaa, ulimfanyia roho mbaya tu mwenzako, labda msingenichanganya akili isingerudi...... ungekuta muda huu najivinjari na TANMO, lol!
sasa hii val inakuja itakuwaje? ila sasa mwaka huu imeangukia ndani ya Kwaresma........ na ni siku moja tu baada ya majivu, hivi watu hawatatoa udhu wao kweli? mfungo wa mwaka huu sijui itakuwaje......
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa yule muoga wewe!
Halafu mi nitakachofanya ni kukudatisha wewe na sihangaiki na yeye! Ntahakikisha wewe unamkataa na kuja kwangu bila nguvu lol

Hebu nifunge mdomo maana mdomo uliponza kichwa!
 
Mnh! Huzbend bora umetokea na kuwaonya maana hapa nilishaanza kutafuta pa kujificha! Watu maneno kibao!
 
Heheheeeeeeeeeiiyaaaaaaa
Hapo utaishia kunawa kijana.
We jiongeleshe tu!
 
Asante kwa salamu Erickb52. Ukimwona my huzbend Mwita Maranya mwambie kama hatoonekana nyumbani wiki hii asirudi tena. Pia wasalimie msiri wangu Kaizer na na binti Maranya Zion Daughter. Salamu za pekee zimfikie mzee wa ISO Allien huko space town!
Thank you very much Mamushka Mrs mwaJ Mwita Maranya .Nimezipokea salamu hizi kwa upendo mkubwa..
Me love you mama mdogo ...lakn umeharibu hapo kwa Kaizer hebu niulize nikupe data zake huyu shemeji yangu namjua mimi.
 
Last edited by a moderator:
Thank you very much Mamushka Mrs mwaJ Mwita Maranya .Nimezipokea salamu hizi kwa upendo mkubwa..
Me love you mama mdogo ...lakn umeharibu hapo kwa Kaizer hebu niulize nikupe data zake huyu shemeji yangu namjua mimi.
Kaizer ni msiri wangu wala sina tatizo na data zake maana ninazo (mie pia ni msiri wake kama ye alivyo kwangu). Yaani sie hatuna tatizo towards each other, zetu ni kufichiana tu! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…