Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Nimesikia, kwa sababu ya kiafya.... uzee umechanganya anatembelea fimbo na macho yanagoma kusoma sawasawa.....Sawa asante
Umesikia Papa anajiuzuru trh 28 Feb?
Yeah ni kweli mwache apumzike!Nimesikia, kwa sababu ya kiafya.... uzee umechanganya anatembelea fimbo na macho yanagoma kusoma sawasawa.....
kuna jingine rafiki?
Mimi namtakia mapumziko mema
We we weeeeeeee! Mlikumbatia nani? Halafu wewee! Shauri yako kama hujawa jiwe la machimbo salasala! Mnh!
wee Erickb52 nilikuwa nimeahirisha kukugeuza chura ila sasa naona ntakugeuza paka mweusi,
(ngoja kwanza niwaache na huyo binti maringo hadi jioni, kazi na dawa)
Hahahaaa Jiwe Linaloishi kuwa kenge sikubali....anifanye niwe mume wa FP ntafurahi sana aiseeaaahh babu si umgeuze kenge tu ili awe anafaidi mayai....
mambo ya kugeuzana paka soo babu watamtumia kwenye uchawi mara kukamata panya...
Erickb52 mkuu utakubali??
Hahahaaa Jiwe Linaloishi kuwa kenge sikubali....anifanye niwe mume wa FP ntafurahi sana aisee
umeona eeh!aahhh binamu yangu yule haiwezekani.. yuko full booked... na wewe si una ndoa ya mitala au ushabwaga?
umeona eeh!
na umwambie kuwa mimi huwa nakuwaga peke yangu....... mambo ya vidumu siyawezi kabisaaaaaa
ha ha haaaaaaaaaaa, vingi huwa vinakuwa vya jinsia hiyo, lol!kweli binamu vidumu vingine unaweza kuta vimebebe gongo si salama hata kidogo
Hahahahaaaa umefumania ooooh
Pole sana najua inauma Mr Rocky
hahahah hili ni jiwe la mwadui paseee jiwe waliloliogopa waashi, unaogopa Bitaa maranya asijue kilichotokea whitepatty? mbona anajua ila tu hana roho ya nyama.