Salamu za Valentine toka kwa Erickb52


Asante kwa salamu Erickb52. Ukimwona my huzbend Mwita Maranya mwambie kama hatoonekana nyumbani wiki hii asirudi tena. Pia wasalimie msiri wangu Kaizer na na binti Maranya Zion Daughter. Salamu za pekee zimfikie mzee wa ISO Allien huko space town!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
maskin mimi nimezaliwa kwa bahati mbaya naishi humu jf kwa makusudi hata wewe shemu wangu erick52 umezira na kuwataja wengine front page kweli jaman hii ni haki? sioni jina langu nimerudia list mara 100 kama matokeo ya kidato cha sita sawa tu!
Dah jamani shem nisamehe sana aisee nilipitiwa si kosa langu!
Nilimwambia Kipipi awe ananikumbusha ila nahisi nae alichanganyikiwa siunajua akinionaga tu anaishiwa nguvu!
Mzima lakini ummu kulthum ?
 
Last edited by a moderator:
na mm natamani nienjoy lakini Mungu ananinyima mwanya huo
Mungu hanaga hiyana mkuu huyo ujue ni shetani kemea na utaona mambo yamekaa vema!
Mungu alisema hakuna atakayeomba mkate akapewa jiwe yan yeye anakupa ukiombacho Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…