Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Aug 26, 2013 #1 Usitafute nauli, Mpoto lima ufuta. Mjomba hana kauli, ameleweshwa limbwata. Kwanza nauli ni ghali, na pili hutamkuta. Mpoto nakushauri, nauliyo kodi trekta. Anga za Malenga
Usitafute nauli, Mpoto lima ufuta. Mjomba hana kauli, ameleweshwa limbwata. Kwanza nauli ni ghali, na pili hutamkuta. Mpoto nakushauri, nauliyo kodi trekta. Anga za Malenga