nimemuliza tu mkuu my main focus here is edo
so you know the truth about edo? you know something !?Kwenye mambo mengine yote napenda ushindani/kushindana/kushindanishwa isipokuwa kwenye masuala ya moyo!
Ndiyo maana nimemuambia Miss Natafuta yuajua pa kunipata atakapomaliza kujiridhisha kuwa Edo ni zaidi ya amsomavyo insta na kwingineko...
Kwenye mambo mengine yote napenda ushindani/kushindana/kushindanishwa isipokuwa kwenye masuala ya moyo!
Ndiyo maana nimemuambia Miss Natafuta yuajua pa kunipata atakapomaliza kujiridhisha kuwa Edo ni zaidi ya amsomavyo insta na kwingineko...
ahahaaa haijalishi dakika tisini ndo mwamuzi ila kumbe ana mke bna nimeumia sanaSasa hapa si umejiongezea competitors bibie? umemrahishia marketing tena bila gharama. Utamudu ushindani?
ahahaaaa yaani nimeshaishiwa nguvu hapa niombee nafasi kwa mentor jamaniAkishaujua ukweli atarudi kwako mzee wa kurepair the broken hearts...
ahahaaa haijalishi dakika tisini ndo mwamuzi ila kumbe ana mke bna nimeumia sana
moyo hauna kamanda mkuu hata simba ni mkali ila anazaaKamanda leo umekua boflo mbele ya chai? ama kweli moyo mashine!
mkuu ni kweli au unanionea tu wivu! nimeumia kweli ujueEdo ana mke na watoto wawili. Mmoja wa kiume anaitwa McVivien Kumwembe. Anatamani sana mtoto akue akakipige Real Madrid.
Mkuu huyo humpati ila siyo mbaya mkaonjana. Ngoja nikutumie namba PM.
Angalia vizuri usipoiona unambie nikutumie tena.asante sana
sijaipata mkuu
Ni pm ni bro wangu, nikupe namba yake
wadau wamesema ameshaoa mkuu mume wa mtu sitakiAngalia vizuri usipoiona unambie nikutumie tena.
kwani unae Chura dada?sitaki mume wa mtu mkuu kama ameoa acha nihamie kwa Mentor
hahahahahahahahahaahahahahaha (bold)Katika pita pita zangu huko nimekutana na hii
Male, 39 years old | Never Married
Dar Es Salaam, Dar Es Salaam
New in here, but someone special is needed
Am looking for someone who is me, but in another gender.Am always caring but also romantic.in this world we have been given a freedom to choose what we want. But lets do it carefully so as we can avoid the pain. And most of the timee, God is the one who guide us to pass trough and achieve our dreams.
Kama ni wewe kweli najua hata huku jf upo njoo pm hata mahari nitajilipia
ahahaaa wewehahahahahahahahahaahahahahaha (bold)
ndo nimejua bnaMbona kumwembe ni married man
ndio mkuukwani unae Chura dada?