Salamu zangu kwa mwandishi Edo

Salamu zangu kwa mwandishi Edo

Kwenye mambo mengine yote napenda ushindani/kushindana/kushindanishwa isipokuwa kwenye masuala ya moyo!

Ndiyo maana nimemuambia Miss Natafuta yuajua pa kunipata atakapomaliza kujiridhisha kuwa Edo ni zaidi ya amsomavyo insta na kwingineko...
so you know the truth about edo? you know something !?
 
Kwenye mambo mengine yote napenda ushindani/kushindana/kushindanishwa isipokuwa kwenye masuala ya moyo!

Ndiyo maana nimemuambia Miss Natafuta yuajua pa kunipata atakapomaliza kujiridhisha kuwa Edo ni zaidi ya amsomavyo insta na kwingineko...

Akishaujua ukweli atarudi kwako mzee wa kurepair the broken hearts...
 
Edo ana mke na watoto wawili. Mmoja wa kiume anaitwa McVivien Kumwembe. Anatamani sana mtoto akue akakipige Real Madrid.

Mkuu huyo humpati ila siyo mbaya mkaonjana. Ngoja nikutumie namba PM.
mkuu ni kweli au unanionea tu wivu! nimeumia kweli ujue
 
Katika pita pita zangu huko nimekutana na hii
3BF47406-BB57-47AF-9F8C9C23BCD87465_medium.jpg

Male, 39 years old | Never Married
Dar Es Salaam, Dar Es Salaam
New in here, but someone special is needed
Am looking for someone who is me, but in another gender.Am always caring but also romantic.in this world we have been given a freedom to choose what we want. But lets do it carefully so as we can avoid the pain. And most of the timee, God is the one who guide us to pass trough and achieve our dreams.

Kama ni wewe kweli najua hata huku jf upo njoo pm hata mahari nitajilipia
hahahahahahahahahaahahahahaha (bold)
 
Back
Top Bottom