Salamu zangu kwenu

Salamu zangu kwenu

Mbona hujamtakia ndugu yako katika Kristo? Saint Ivuga ........

Anyway, Pasaka Njema Mkuu hata kama hujatutaja.... Ubarikiwe

Oh sorry jamani nilisahau tu mkuu
Siunajua kichwa chenyewe kidogo mambo mengi ndugu yangu basi tabu tupu
Habari za uzima??
 
Usijali mate nipo makini mate wako
Nafuata nasaha za mkwangwa the big man na late mwl Hamisi mwalimu wa malezi lol
May she rest in peace jamani
Asante sana mate
Nawe uwe makini usinyanduliwe kweli kweli
Daaah!! Dunia hii!! Eti madam Hamis hatunae tena!!
Makumbuka tu vichambo vyake, alijua kutuchamba yule mwanamke chaaah!!!
 
Daaah!! Dunia hii!! Eti madam Hamis hatunae tena!!
Makumbuka tu vichambo vyake, alijua kutuchamba yule mwanamke chaaah!!!

Haa yule alikua mluguru halisi yule
Mi nakumbuka tu alivyokua anatutukana
" waaone kwanza watoto wadogoooooo mmeshakua makopo mwee mwe mweeee " na team yake ya malezi jinsi waliyokuwa wanatubinya maziwa kwenye kutupima mimba 1st draft aisee walikua wanabinya kwa nguvuuu duh kama ugomvi vile
 
Hapo safi lkn naww utukaribishe sasa tuje tule ubwabwa na maharage nb. Nitakuja na mteke wangu.
Mteke utafika salama kule kweli si utakua ushasharibika?? Huyo dawa ni migebuka tu na mawese asafishe macho
Nasikia mawese ni dawa nzuri ya macho na tumbo eti
 
Npo gado kwakweli... Huku tunakula mpaka gridi ya zesco. Mahindi na copper ndo bizness huku tu bestie... Muase mate ajipange tu. [emoji12] [emoji12]
Kwacha kwacha babaaa kwacha zipo??
Nisije mtoa kimasomaso mate ake namie akapotelea msumbiji huko??
 
Npo gado kwakweli... Huku tunakula mpaka gridi ya zesco. Mahindi na copper ndo bizness huku tu bestie... Muase mate ajipange tu. [emoji12] [emoji12]
Kwacha kwacha babaaa kwacha zipo??
Nisije mtoa kimasomaso mate ake namie akapotelea zambia huko??
 
Sawa mkuu usijali maparachichi yapo ya kutosha na ndizi na nitapitia kwa jirani yangu malafyale ni chukue na mananasi ili juice iwe ya ukweli zaidi
Ajajajajajajajajajajajajajajajajajajaja mkuu hapo umegusa penyee apo
Napenda juisi mixa ya hayo matunda mwee mweeee weee nitakunywa mpaka nijilambe
 
Kwacha kwacha babaaa kwacha zipo??
Nisije mtoa kimasomaso mate ake namie akapotelea msumbiji huko??
Kwacha.jpg

full mapene mtoe wasi mate[emoji4]
 
Back
Top Bottom