Salamu zangu kwenu

Hahaha usijali shem lake, yani hapa nimemkamata mkono huku nareply comment yako, ananishangaa tu hapa hahahah

Lol Wee mbbaaaaaaaaaayaaaaaaa na usimwachie mshike haswaaa sisi wanawake tunajijua wenyewe
 
Mleta mada nimejaribu kuifungua ile attachment na haijiiii... basi kama imegoma nitumie mimi tena labda kwa wengine imefika
 
Mi nna maswali mawili kwa mtoa mada:
1. Kwanini mm hukunitaja?
2. Kwanini "badili tabia" umemuandika kwa herufi kubwa?
ubaguzi huo.
 
Hiii,,,yan zlipendwa hata kunikarbisha kweny pilau
La pasaka
Umekataa? Stak kuamin

Naona kama naotaa au
Macho hayaon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…